Top Stories

Mkapa, JK, Lowassa, Mbowe na Viongozi wengine walivyouaga Mwili wa Kingunge

on

Leo February 5, 2018 Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru umeagwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali. Waliohudhuria ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Marais Wastaafu Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa.

Pia alikuwepo Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Makamu wa Rais Mstaafu Gharib Bilal, Mama Maria Nyerere na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo na viongozi wengine.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA ILIVYOKUWA.

MAZISHI JUMATATU: Bado Haijulikani ni Dini gani itamzika Mzee Kingunge?

Soma na hizi

Tupia Comments