Ni Septemba 14, 2022 ambapo Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime ametoa kauli kuhusu kusambaa kwa video ikimuonesha Askari akichukua rushwa kwa Raia wa kigeni.
Kwa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.