Top Stories

Asante ya kijana Mathias akiwa bado kitandani pesa hazijatosha (+video)

on

Miezi miwili imepita AyoTV, iliripoti habari ya kijana Mathias Erenest (32) alielala kitandani kwa miaka mitatu tangu apate ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Burundi akitokea Tanzania kupeleka ngano, Mke wa Mathias alitueleza nia yao ya kwenda India kwa matibabu na kuwaomba Watanzania kiasi cha pesa ili mume wake akapate matibabu.

Soma na hizi

Tupia Comments