Top Stories

Ile ishu ya Bureau De Change, Waziri apigilia msumari “Ni kinyume na sheria” (+video)

on

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amesema serikali imechukua hatua dhidi ya maduka binafsi ya kubadilishia fedha kwa sababu kulikuwa na ukiukwaji wa sheria.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kakunda amesema kuwa ipo sheria ya kusimamia biashara ya kubadilisha fedha ambapo mtu akienda maduka ya fedha lazima taarifa zake muhimu zichukuliwe ikiwemo kuangaliwa ‘Passport’.

Hapa biashara ilikuwa holela ili kudhibiti biashara hiyo, mfumuko wa bei na thamani ya fedha yetu lazima tusimamie na hiyo biashara inayofanyika usiku ni kinyume na sheria,“amesema.

SERIKALI YAFUTA VIWANDA 20 KWA MPIGO, HII NDIO SABABU ILIYOTAJWA

Soma na hizi

Tupia Comments