Top Stories

Mama aangua kilio akiomba msaada wa matibabu ya Wanae wawili (+video)

on

Vaileth Japhet Esso ni Mama mwenye Watoto wawili ambapo Japhet Esso ni mtoto wake mwisho ana tatizo la Moyo lililomsumbua tangu akiwa na miaka sita hivyo anahitaji Shilingi Milioni tatu kwa ajili ya upasuaji na Adrea Japhet ni mtoto wa pili  naye ana tatizo la Ubongo ambaye naye anahitaji mahitaji maalumu ili kumewezesha kuishi.

Mama Vaileth ana Mume ambaye ni Mzee Japhet ambaye shughuli zake ni za Ujasiriamali ambazo zinamuwezesha kupata pesa za kula pekee.

HUYU NI WAZIRI KANGI LUGOLA KATIKA UBORA WAKE, BONYEZA PLAY HAOA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments