Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wakati Mashabiki wakitaka aondoke, Wenger anakitaka hiki ili ashinde
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Wakati Mashabiki wakitaka aondoke, Wenger anakitaka hiki ili ashinde
Sports

Wakati Mashabiki wakitaka aondoke, Wenger anakitaka hiki ili ashinde

March 2, 2018
Share
1 Min Read
ST ALBANS, ENGLAND - SEPTEMBER 30: Arsenal manager, Arsene Wenger attends a press conference at London Colney training ground on September 30, 2016 in St Albans, England. (Photo by Alan Walter/Arsenal FC via Getty Images)
SHARE

Baada Klabu ya Arsenal kupokea kipigo cha goal 3 bila majibu kutoka kwa Klabu ya Manchester City katika mchezo wa ligi kuu  nchini Uingereza wakiwa nyumbani katika uwanja wa Emirates na hii si mara ya kwanza kwani wiki iliyopita walikubali pigo kama hicho toka kwa haohao Man City.

Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji wake walikosa kujiamini na ndo sababu ya kupoteza mchezo huo na kuwataka kuwa na umoja na kufikiria mchezo ujao.

“Wakati imani yako inapokuwa ndogo cha kwanza kinachotokea kukosa kujiamini na nguvu kupungua na hicho ndicho kilichotokea katika mchezo. Sidharau ubora waliyokuwa nao City lakini tunapitia katika kipindi kigumu uwanjani.” -Wenger

“Hii ni sehemu ya mchezo nilazima tuunganishe nguvu zetu na tuwe kitu kimoja ndani ya timu na tufikirie mchezo ujao na tuweke juhudi zetu huko.” -Wenger

MAPINDUZI YALIOJADILIWA KATIKA SOKA LA BONGO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

https://www.youtube.com/watch?v=uat3cR3W2QQ&t=5s

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Serikali yaweka wazi kutotangaza shule bora

‘Ondoeni dhana ya rushwa Mahakamani’

Wanafunzi Sekondari 7,457, Msingi 1,554 wapata ujauzito

Dizeli, mafuta ya taa yashuka bei

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo March 2, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMpya: ‘Nielewe’ Navio kamshirikisha Vanessa Mdee
Next Article Kane ashinda Tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka, wafahamu washindi wengine
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?