Michezo

Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la FA Tanzania imetoka

on

April 12 2016 Shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kushirikiana na kituo cha Azam TV kilifanya live droo ya kupanga mechi za nusu fainali ya Kombe la FA ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Utaratibu wa droo hiyo ulikuwa timu ya kwanza kutajwa ndio ilikuwa inapata nafasi ya kuwa mwenyeji.

2

Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Tanga katika uwanja wa Mkwakwani April 24 2016

1

Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Shinyanga April 23 2016

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIYAKOSA MAGOLI YA MECHI YA SIMBA VS COASTAL UNION, FULL TIME 1-2

Soma na hizi

Tupia Comments