Top Stories

Ashinda bet mara mbili, kachukua zaidi ya Bilioni 6

on

Mwanaume mmoja wa South Carolina Marekani ameingia kwenye orodha ya walioshinda michongo ya kipekee hadi sasa kwa mwaka huu 2021 baada ya kushinda bahati nasibu mara mbili ndani ya siku 12.

Bahati nasibu ya kwanza aliishinda July 16 ambayo ilikua $40,000 (Tsh. milioni 92) na baada ya siku 11 akashinda $ milioni 3 (Tsh. Bilioni 6+ )

Mwanaume huyu ambae pia kwenye jackpot ya pili alikosa namba moja tu kumfanya ashinde pesa kubwa zaidi ya hiyo amesema “Familia yangu ilishtushwa baada ya habari yangu kutangazwa, sikuamini…. “

MWANAMKE ALIVYOSABABISHA MESSI KUMFUKUZISHA ICARDI “ALIOA MKE WA MCHEZAJI MWENZIE”

Soma na hizi

Tupia Comments