Michezo

Ashley Young kajiunga Inter Milan, rekodi aliyoacha EPL ndio hii

on

Club ya Inter Milan ya Italia imemsajili aliyekuwa nahodha wa Man United Ashley Young (34) kwa mkataba wa miezi sita hadi mwisho wa msimu, Inter Milan wamemnunua kwa pound milioni 1.5 (Tsh Bilioni.

Kabla ya kufikia maamuzi ya kuondoka inadaiwa kuwa Man United walimpa Young ofa ya mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia Old Trafford lakini alikataa.

Young anaondoka EPL na kwenda Serie A akiwa anaacha rekodi ya kupiga jumla ya assist 69 akiwa wa 13 katika historia nyuma ya hawa.

Most Premier League assists:

1- Ryan Giggs (162)
2- Cesc Fàbregas (111)
3- Wayne Rooney (103)
4- Frank Lampard (102)
5- Dennis Bergkamp (94)
6- Steven Gerrard (92)
7- David Silva (90)
8- James Milner (84)
9- David Beckham (80)
10- Teddy Sheringham (76)
11- Thierry Henry (74)
12- Andy Cole (73)
13- Ashley Young (69)

Soma na hizi

Tupia Comments