Mix

VIDEOFupi: Wema Sepetu alivyofika kusikiliza kesi yake Mahakama ya Kisutu leo

on

Leo July 10, 2017 kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kulikuwa na kusikilizwa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili muigizaji Wema Sepetu na wenzake hadi, ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi August 1, 2017.

Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa serikali, Estezia Wilson kusema Hakimu anayesikiliza kesi hiyo hayupo,  Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi Agosti 1, mwaka huu ambapo itasikilizwa tena.

VIDEO: Ulipitwa na Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa Jay? Bonyeza play katazama

Soma na hizi

Tupia Comments