Habari za Mastaa

Jux avunja ukimya azungumza ‘Mimi na Vanessa hakuna tatizo lolote, album yangu soon’

on

Mwimbaji Juma Jux alikuwa miongoni mwa mastaa walioalikwa usiku wa jana April 7, 2019 kwenye uzinduzi wa video tatu za msanii Darassa ambapo katika video hizo Jux ameshirikishwa wimbo mmoja wa ‘Leo’, sasa AyoTV na millardayo.com zilipata time ya kuzungumza naye kuhusu nyimbo hizo pamoja hata na yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu yeye na mpenzi wake Vanessa Mdee.

VIDEO: Full Shangwe kutoka kwenye uzinduzi wa nyimbo 3 mpya za Darassa, Mastaa wajitokeza

DJ FETTY KAUTAJA WIMBO ANAOUKUBALI KATI YA NYIMBO 3 MPYA ZA DARASSA ALIZOZIACHIA

Soma na hizi

Tupia Comments