Kutoka Dodoma Tanzania nakukutanisha na Felix Mwinuka ni balozi wa Hospitali ya Taifa ya magonjwa ya akili Mirembe.
Ambaye ametibiwa Hospitalini hapo kwa miaka kadhaa na anaendelea vizuri na leo amekubali kushare na sisi story yake kuhusu kilichopelekea yeye kupelekwa Mirembe
Felix Mwinuka anasema ni miaka 28 sasa tangu aanze kusumbuliwa na tatizo hilo na amepelekwa hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu zaidi ya mara 20 na sasa anaendelea na kazi yake ya ualimu wa shule ya msingi na ndoto yake kubwa ni kuwa mwandishi wa vitabu.