Michezo

Askari auawa na Mwananchi Arusha akitaka kumkamata ‘kuvuja damu’

on

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendesha operesheni maalumu kufuatia askari wa jeshi hilo kuuawa na mtuhumiwa ambaye alikuwa anatafutwa baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wizi RPC Arusha Justine Masejo amesema tukio hilo lilitokea eneo la Makiba Wilayani Arumeru, Arusha ambapo askari huo alikuwa anawatafuta watuhumiwa hao ambapo mmoja aliyekuwa anatafutwa alitokea nakumkata kwa kitu chenye ncha kali.

VURUGU UWANJANI, SIMBA WAGOMA KUPITIA GETI KUU LA WACHEZAJI LAKE TANGANYIKA KIGOMA

Tupia Comments