Top Stories

Askari shujaa, jasiri aliemsogelea Hamza asimulia ilivyokuwa (+video)

on

Huyu ni SGT. Mashaka Magadu ambaye ni miongoni mwa Askari 11 wa Jeshi la Polisi waliopambana katika tukio la Hamza Mohammed lilitokea nje ya Ubalozi wa Ufaransa, anatuelezea ujasiri alioupata mpaka kusogea karibu na Hamza

“Nimepokea kama Askari hii kazi ya kupambana na Wahalifu inafanya na sisi Askari wadogo, IGP hawezi kubeba silaha kuja kupambana, au Rais, Askari tujitoe kwa moyo wote, tuendeleze kupambana na wahalifu kwa muda wote, mhalifu halali, tusiogope, ujasiri wangu baada ya kuambiwa wenztu wameuawa watatu, ujasiri wa hali ya juu ulinijia” Magadu

 

Soma na hizi

Tupia Comments