AyoTV

VIDEO: Mbunge Jumaa Aweso kaguswa na manyanyaso ya Askari Polisi jimboni kwake

on

June 02 2016 bunge la 11 limeendelea Dodoma huku kazi kubwa ikiwa ni maswali na majibu kutoka kwa Wabunge huku yakitolewa majibu na Mawaziri, Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kusimama na kuwasilisha maswali yao. Nakukutanisha na Mbunge Jumaa Aweso kutoka Pangani na Doto Biteko wa Bukombe.

ULIIKOSA HII? MBUNGE BOBANI KAHOJI AHADI YA JPM KUMRUDISHA YULE MJUSI ALIYEPELEKWA UJERUMANI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments