Top Stories

Askofu Pengo ang’atuka, Papa ateua mrithi wake

on

Moja ya taarifa iliyotolewa katika website ya Vatcan imesema Baba Mtakatifu Francis ameridhia ombi la Kardinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la DSM, Tanzania la kung’atuka kutoka madarakani.

Wakati huo huo, Baba Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwa’ichi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la DSM.

Hivi karibuni, Kardinali Polycarp Pengo katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Miaka 75 tangu kuzaliwa kwake, aliwaambia watu wa Jimbo kuu la DSM kwamba, anasubiria wakati wowote kumtii Baba Mtakatifu Francis atakapomwambia kupumzika katika utume wa Kiaskofu.

DEREVA ALIE-OVERTAKE MLIMA KITONGA ABANWA NA KAMANDA “HUJABEBA MIZIGO”

Soma na hizi

Tupia Comments