Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Askofu Gwajima agomea tena kiti, aamua kusimama akihojiwa na kamati (Video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Askofu Gwajima agomea tena kiti, aamua kusimama akihojiwa na kamati (Video+)
Top Stories

Askofu Gwajima agomea tena kiti, aamua kusimama akihojiwa na kamati (Video+)

August 25, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima amekataa kuketi katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na badala yake alitaka kusimama muda wote wa kikao hicho cha kamati.

Askofu Gwajima aliitwa kuhojiwa kwa mara ya kwanza katika kamati hiyo Agosti 23, 2021 ambapo anatuhumiwa kwa kusema uongo, kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Sasa leo Agosti 25, 2021 ni mara ya pili kufika katika kamati hiyo baada ya mara kwanza shauri hilo kutomalizika.

Mara ya kwanza Askofu Gwajima alitaka kubadilishiwa kiti na kipaza sauti jambo ambalo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Emmanuel Mwakasaka alilikubali na kuagiza kubadilishwa kwa kiti na kipaza sauti kama alivyoombwa.

ASKOFU AMALIZA KUHOJIWA ASEMA “WAKISEMA NA MIMI NITASEMA”

You Might Also Like

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

Makamu Rais AngloGold Ashanti-GGML atembelea maonesho ya madini Geita

Exclusive:Nyumbani kwa Askari aliyejenga kaburi la Milioni 10 yaibuka mapya

TAGGED: Askofu Gwajima, Bungeni, Dodoma, Gwajima
Edwin TZA August 25, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ukali wa Rais Samia “Aibu askari kuchukua rushwa/kuna clip nimerushiwa kutoka Ulaya” (Video+)
Next Article Mapigano DSM, kauli ya IGP “Askari wawili wamefariki, nae kauawa” (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?