Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Askofu Gwajima aomba kubadilishiwa Kiti na Kipaza Sauti alipoingia kuhojiwa (Video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Askofu Gwajima aomba kubadilishiwa Kiti na Kipaza Sauti alipoingia kuhojiwa (Video+)
Top Stories

Askofu Gwajima aomba kubadilishiwa Kiti na Kipaza Sauti alipoingia kuhojiwa (Video+)

August 23, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima alifika katika viwanja vya bunge majira saa 6:35 kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Askofu Gwajima alikaa Takribani saa 1 na nusu akisubiri kuitwa na Kamati na muda ulipofika alitakiwa kuingia kwenye ukumbi ambao kamati walikuwa wakimsubiri lakini taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa Kamati, Emmanuel Mwakasaka alisema shahidi ambaye ni Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima kuna dawa anaitumia tuendelee kumsubiri amemuagiza dereva.

“Sina taarifa ya shahidi kama ana tatizo lolote la kiafya linalomtaka shahidi ameze dawa kwanza ndio aje kwa hiyo tuendelee kumsubiri inawezekana limempata baada ya kufika hapa”

Muda mchache baadae Askofu Gwajima aliingia katika ukumbi waliokuwepo kamati na akaomba kubadilishiwa kiti kilichokuwa kimeandaliwa kwa ajili yake na kubadilishiwa kipaza sauti (Mic) kilichokuwa kimeandaliwa kutumia yeye kuongelea hali iliyokubaliwa na wajumbe wa kamati hiyo na baada ya muda mhudumu wa Bunge alibadilisha vifaa hivyo na kamati kuanza kumuhoji.

ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA BUNGENI DODOMA KUHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

TAGGED: Bungeni, Dodoma
Edwin TZA August 23, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha 6:Mbunge Askofu Gwajima afika bungeni, aitikia wito kamati maadili
Next Article Gwajima baada ya kuhojiwa kamati maadili wafunguka “Tumemruhusu aende lakini” (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?