Michezo

Ilichopost Club ya Arsenal kwa Watanzania leo Tarehe 9 Dec

on

Tanzania imetimiza miaka 55 ya Uhuru ambapo sherehe zake zimeongozwa na Rais John Pombe Magufuli Dar es salaam ambapo amesema kuanzia miaka ijayo sherehe hizo zitakua zikifanyika nje ya Dar, Dodoma.

Kingine cha kufahamu ni kwamba sio tu Watanzania wanatambua uwepo wa hiyo miaka 55 ya Uhuru, club ya soka ya Uingereza Arsenal inayoongozwa na kocha Arsene Wenger imeonyesha kutambua siku hii muhimu kwa Tanzania kwa kupost Facebook picha yenye bendera ya Tanzania na kuandika ‘HAPPY INDEPENDENCE DAY TANZANIA

screen-shot-2016-12-09-at-2-40-39-pm

VIDEO: Tazama hii video hapa chini ujionee Miss Honduras na Miss Mexico walivyoimbaHAINAGA USHEMEJIya Manfongo

VIDEO: Anaesema mimi ni mbaya anakosea‘- Miss Tanzania 2016 Diana

Soma na hizi

Tupia Comments