Michezo

Waswahili hawaishiwi…. tazama kitu wameandika kwenye bango la Arsenal vs Bayern

on

Leo kwa wale wapenda soka mechi kubwa ni kati ya Arsenal na Bayern Munich ambapo kila mmoja anasubiria kuona itakuaje? maajabu yanaweza kutokea? sasa wakati game yenyewe ikisubiria kuna hili bango jamaa wameandika kabisa Arsenal ikipita unarudishiwa hela yako.

ULIPITWA? Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona amepiga picha na Edward Lowassa uwanja wa taifa, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

UMEKOSA MAGOLI YA LEO????? Yanga vs Kiluvya United… 6-1 bonyeza play kwenye hii video hapa chini utazame kila kitu

UNAZITAKA ZOTE BREAKING NEWS NA MATUKIO YA HABARI, PICHA NA VIDEO ??? ungana na Reporter wako Millard Ayo kwenye mitandao yote ya kijamii na utapata yote yanayonifikia saa 24… BONYEZA HAPA >>> Twitter Facebook Instagram

Soma na hizi

Tupia Comments