Michezo

URA walivyoanza kutetea Ubingwa wao vs KVZ Jan 1 2017

on

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi timu ya URA ya Uganda jumapili ya January 1 2017 ilishuka uwanjani kucheza dhidi ya KVZ katika mchezo wao wa kwanza wa Kundi A, hiyo ikiwa ni sehemu ya harakati zao za kuanza kutetea taji lao.

URA wameendelea kupata matokeo chanya kama mwaka 2016 katika uwanja wa Amaan kwa kufanikiwa kuifunga KVZ goli 2-o, magoli ambayo yalifungwa na Lapama Bogota dakika ya 57 na 90.

URA wanapata nafasi ya kuongoza Kundi A kwa tofauti ya goli moja dhidi ya Taifa Jang’ombe wakati huu ambapo unasubiriwa mchezo dhidi ya Simba na Taifa Jang’ombe.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments