AyoTV

Asteria… mtangazaji mpya AyoTV anaetukutanisha na hizi 3 za Vanessa Mdee, Idris na Baraka

on

Kutana na stori zilizoanzia Instagram lakini mtangazaji mpya wa AyoTV Asteria akazifanyia muendelezo na zikawa na details za kutosha kwa kupata ufafanuzi kwa wahusika wenyewe, tazama Vanessa Mdee alivyotafuta Dancers wa kucheza nae, Idris na jamaa aliyesema kavaa saa feki, kuna Baraka Da Prince pia… tazama hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments