AyoTV

InstagramNEWS: Ni staa gani wa bongo kafuta picha zote Instagram? kisa?

on

Asteria ni mtangazaji mpya wa AyoTV, kazi yake nyingine ni kukusogezea habari kubwa za mitandao na leo yuko na wewe na hawa mastaa wa Tanzania, miongoni mwa stori kubwa ni za mmoja wa mastaa hao kuamua kufuta picha zote kwenye account yake ya Instagram.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments