AyoTV

AUDIO: TFF hawatambui Yanga kukodishwa hadi hili lifanyike

on

Siku tano zimepita baada ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans itangazeĀ kuingia mkataba wa kuikodisha timu yao kwa kipindi cha miaka 10 kwa kampuni ya YANGA YETU, mkataba wa Yanga kukodishwa katika kipindi cha miaka 10 ulitangazwa October 6 2016 hiyo ni baada ya kusainiwa kimya kimya Septemba 3 2016.

“Katika mkutano wa dharura Yanga wakaja na suala tofauti ambalo wengine wakihisi ni utani suala la kukodishwa, mabadiliko yanaruhusiwa ila ufuate utaratibu ila hadi sasa klabu ya Yanga ipo katika mfumo wake wa awali, mabadiliko mengine hadi tutakapoyapokea” >>> Mwesigwa

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments