Top Stories

Rais Magufuli atoa dili kwa Watanzania wote “fanyeni kuna hela msiogope” (+video)

on

Rais Magufuli “Kuna nchi nyingi ambazo wenzetu wananufaika sana kwa ufugaji huu wa wanyamapori ikiwemo Afrika Kusini, wanapata watalii wengi, watu wao wanapata ajira na wanaowekeza kwenye ufugaji huu wanapata fedha, sioni sababu kwa nini sisi Watanzania tusifuge wanyamapori wakati sheria zinaruhusu kufanya hivyo” .

Changamkieni fursa hii ndugu zangu, wataalamu wa wanyamapori wafundisheni wananchi kufuga wanyamapori na wahamasisheni kufanya hivyo, viongozi wastaafu jitokezeni kuonesha mfano kama alivyofanya Lut. Jen. Mstaafu Ndomba kule Mbinga, maeneo ya kufuga yapo mengi” Rais Magufuli 

WATOTO WADOGO WALIOPOTEA NA KUPATIKANA TABORA WAZAZI WAELEZA ILIVYOKUWA

Soma na hizi

Tupia Comments