Top Stories

Picha 10 za Frederick Sumaye na Edward Lowassa walivyoungana Arusha kwenye kampeni za Godbless Lema..

on

Sehemu kubwa ya Majimbo Tanzania tayari wamepata wawakilishi wao ambao ni Wabunge, kuna majimbo ambayo uchaguzi ulisogezwa mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Arusha Mjini.

Kwa sababu Kampeni zinaendelea Arusha, nimeona nikuunganishe na picha kutoka kwenye Kampeni za Mgombea wa CHADEMA, Godbless Lema akiwa ameongozana na Edward Lowassa, Frederick Sumaye na viongozi wengine wa CHADEMA.

index II

Frederick Sumaye

index IV

Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiongea na Edward Lowassa.

index IX

Edward Lowassa

index

.

index III index V index VI index VII index VIII

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments