Habari za Mastaa

Leaked: Dakika 3 za wimbo mpya wa Chriss Brown ft T-Pain ‘Bring It Back’

on

Headlines za ngoma za wasanii kuvuja zinazidi kugonga vichwa vya habari, baada ya staa wa Bongofleva Alikiba ngoma yake ya ‘Aje’ kuvuja, staa kutoka USA Chriss Brown imevuja nae ngoma yake ya ‘Bring It Back’ alimshirkisha T-Pain, unaweza kuenjoy kwa kusikiliza dakika 3 na sekunde 46.

https://youtu.be/Ccvh7zknA4k

KAMA ULIIKOSA HII YA SNURA KUZUNGUMZIA VIDEO YAKE YA CHURA KUFUNGIWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments