Mix

Ukiona wahudumu kwenye ndege hawaonekani, ujue wako huku wengine wamelala… !! (Pichaz)

on

Aviation_Flight_at_Sunset_015809_

Ukiwa ndani ya ndege unasafiri kuna wale wahudumu ambao wanakuwa wanazunguka hivi kuhudumia wasafiri, muda mwingi ni wakarimu na utaona wanatabasamu muda wote, unadhani hawapumziki?

Nimekutana na story kwenye mitandao mikubwa Duniani, wamesapoti kabisa story yao kwa ushahidi wa pichaz kwamba kama ukiona wahudumu hawaonekani katikati ya safari, wakati mwingine wanakuwa wamelala.. unajua vyumba viliko?

Ndani ya ndege nyingi kubwa kama Boeing 777  au 787 ambazo zinafanya safari ndefu kama kutoka Amsterdam Uholanzi mpaka New York Marekani ndani kuna hivi vyumba vya wale wahudumu kupumzika wakiwa safarini.

a-sign-divulges-whats-behind-these-doors-eight-crew-member-bunks-though-youve-pr

Haya ni maelekezo nyuma ya mlango wa kuingilia ambako Wahudumu hao wanapumzika.

but-some-cabins-are-entered-through-a-secret-hatch-that-looks-like-a-typical-ove

Unaambiwa kwenye ndege nyingine mlango ni wa siri kabisa, huu unafunguka kwa juu kama sehemu ambayo inawekwa mizigo kwa juu ndani ya ndege.

gettyimages-138786921

Ukiingia ndani kunaonekana hivi… kuna magodoro ya kulala. Ukiona hawapo ujue wako huku !!

it-depends-on-the-plane-but-usually-crew-rest-areas-are-hidden-behind-the-cockpi

Kwenye ndege nyingine vitanda vya wahudumu viko juu, hii ni ramani yake, watu wanaendelea na safari kwa chini alafu wahudumu wanakuwa wamepumzika zao kwa juu.

secret-stairs-lead-up-to-the-bedrooms-where-the-cabin-crew-sleeps

Hizi ni ngazi zilizo sehemu ya siri kabisa, kuingia hapo lazima uwe na password za milango.

others-have-bunk-beds-that-are-stacked-on-top-of-each-other-like-this-malaysian-air-a380-plane

Pozi la vitanda vingine ni hili mtu wangu, vitanda kwa ngazi mwingine juu mwingine chini.

the-beds-which-are-generally-around-six-feet-long-and-two-and-a-half-feet-wide-are-partitioned-by-heavy-curtains-meant-to-muffle-noise

Muonekano mwingine wa vitanda.

the-crew-certainly-seems-to-enjoy-the-overhead-rest-areas-on-boeing-777s-which-depending-on-the-airline-can-fit-six-to-10-bunks-as-well-as-personal-storage-space-for-each-crew-member

Hawa wanapiga zao stori, vikombe vya coffee na safari inaendelea.

Kwenye Boeing 777 juu ya Chumba cha Marubani kuna sehemu ambayo nao wanapumzika pia.

Kwenye Boeing 777 juu ya chumba cha Marubani kuna sehemu ambayo nao wanapumzika pia.

theres-no-room-to-stand-up

though-some--and-this-varies-by-airline--are-a-little-more-high-end-and-feature-entertainment-systems-some-airplanes-like-this-air-canadas-boeing-787-dreamliner-have-flat-open-sleeping-areas

to-get-back-out-to-the-main-cabin-an-emergency-exit-under-one-of-the-beds-leads-straight-into-the-cabin-through-an-overhead-bin-thats-locked-from-the-outside

while-most-beds-seem-claustrophobic-this-cabin-on-singapores-airbus-a380-looks-comfortable

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments