Mkuu wa Wilaya ya Tarime Eng. Simon Mtemi amesema kuwa kwa kipindi cha mwaka jana waliwakamata watu wawili, mmoja alifanya tohara kwa watoto mia mbili kwa kutumia visu nane na mwingine alifanya shughuli hiyo akiwa ana Virusi Vya UKIMWI.
Atumia visu nane kutahiri watoto 200, mwingine alikuwa na Virusi vya UKIMWI (+video)
Leave a comment
Leave a comment