Michezo

Aubameyang asaini mkataba mpya Arsenal

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon anayeichezea club ya Arsenal ya England Pierre-Emerick Aubameyang ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuitumia club hiyo hadi mwaka 2023.

Baada ya kusaini kwa mkataba huo Aubameyang sasa atakuwa akilipwa mshahara wa pound 250,000 lakini pamoja na bonasi na malupulupu mengine yanaweza kufikia pound 350,000 kwa wiki (Tsh Bilioni 1 kwa wiki).

“Nimesaini mkataba na nina furaha sana kuendelea kuwa hapa, hapa ni nyumbani kwangu ni siku nzuri sana, nataka kuwa legend wa Arsenal na kuacha legacy hapa, huu ni muda wa kufanya kazi sana na hakika nitajitoa kadri ya uwezo wangu kama kawaida”>>>Aubameyang

HII NDIO ADHABU YA TFF KWA HAJI MANARA, HANS POPE NA HASSAN BUMBULI WA YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments