AyoTV

AUDIO: Azam FC waeleza sababu ya kumpa Chirwa mikataba mifupifupi

on

Club ya Azam FC kupitia afisa habari wake Thabit Zacharia @zakazakazi imetolea ufafanuzi kwa nini inampa mkataba mfupi mshambuliaji wao Obrey Chirwa raia wa Zambia kwa mara ya tatu mfululizo.

“Kwa anavyoonekana Chirwa sio kwamba nguvu zitaisha leo au kesho lakinj mkataba ni pande mbili kile ambacho kipo mezani, baada ya kuangalia tunahitaji nini kutoka kwake na yeye anahitaji nini kutoka kwetu tukaona mwaka mmoja ndio sahihi zaidi”

EXCLUSIVE: NI KWELI GSM WANATAKA KUINUNUA YANGA SC? WATOA MAJIBU

Soma na hizi

Tupia Comments