AyoTV

AUDIO: Azam FC wataka Ligi irejee lakini ichezwe viwanja huru (Neutral Ground)

on

Ikiwa ni siku moja imepita toka Rais Dr John Pombe Magufuli atangaze kuwa anafikiria kuruhusu Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020 iendelee, kuna baadhi pia ya watu wanaamini hata kiendelea inawezekana Rais akaamuru iendelee pasipokuwa na mashabiki uwanjani.

Leo AyoTV imeongea na afisa habari wa Azam FC Thabit Zacharia vipi amepokeaje wazo la Rais Magufuli? wachezaji wao na makocha wao waliopo nje wameshaanza harakati za kuwarudisha Tanzania, Azam FC wanaunga mkono lakini kwa pendekezo la kutaka mechi za kumalizia msimu zichezwe katika viwanja maalum na sio kila sehemu ili kukwepa corona.

VIDEO: MBRAZIL WA SIMBA AFUNGA NDOA NA EDUARDA FRANCA

Soma na hizi

Tupia Comments