AyoTV

AUDIO: Chama akata mzizi wa fitna, atoa tumaini Yanga SC

on

Kiungo wa kimataifa wa Zambia anayeichezea Simba SC ya Tanzania Clotous Chama leo aliwapa nafasi mashabiki mbalimbali wa soka kumuuliza maswali wayapendayo kupitia ukurasa wake wa instagram, Chama ameulizwa maswali na kuyajibu.

Moja kati ya maswali aliyoulizwa Chama ni kuhusiana na kuwa atacheza Yanga msimu ujao, akakataa akasema bado ana msimu mmoja Simba, kuhusu mchezaji wa Yanga anayempenda Chama aweka wazi ni Haruna Niyonzima.

VIDEO: SAMATTA AELEZEA HALI YA LOCKDOWN INAVYOMTESA ENGLAND

Soma na hizi

Tupia Comments