AyoTV

AUDIO: Farid Musa kutoka Tenerife Hispania wachezaji wanapimwa Corona

on

Mtanzania Farid Musa anayecheza club ya Tenerife ya Hispania leo ameongea na AyoTV kutokea Hispania na kubwa tumetaka kujua vipi wanaendeleaje Hispania, lock down si unajua Hispania ni miongoni mwa nchi zilizoathirika kwa kiasi kikubwa na jangaa la Corona? Farid na haya ya kutujuza.

VIDEO: Msuva katuonesha umahiri wa kucheza Sudden ya Tekno

Soma na hizi

Tupia Comments