AyoTV

AUDIO: Kinachochelewesha usajili wa Samatta katika club ya Aston Villa

on

Watanzania wengi wamekuwa na shauku kubwa ya kutaka kufahamu ni nini kinaendelea kuhusiana na tetesi za usajili wa Mbwana Samatta kujiunga na club ya Aston Villa akitokea KRC Genk ya Ubelgiji, imeripotiwa na Shaffih Dauda kuwa Samatta anacheleweshwa kutangazwa akisubiri kibali.

Samatta analazimika kusubiri hadi Aston Villa wapate kibali chacke cha kazi ndio waamue kumtangaza rasmi, kwa sababu ni kazi sana kupata kibali cha kufanya kazi England kama sio raia au nchi yako sio mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya, hivyo Samatta atapata kibali ila kwa kuchelewa kiasi.

VIDEO: Kinachoendelea Villa Park England muda huu, akisubiri kutangazwa Samatta

Soma na hizi

Tupia Comments