AyoTV

AUDIO: Lockdown Morocco wote ndani, Msuva vipi anakatwa mshahara?

on

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva ameeleza hali ya maisha yake ya sasa nchini Morocco Ligi ikiwa imesimama sababu ya corona.

Msuva aeleza kuwa kwa upande wa Morocco hatma ya Ligi kuendelea au kutoendelea itajulikana May 20 lakini hadi sasa yeye binafsi hajakatwa mshahara anapokea ule ule kwa asilimia 100.

AUDIO: CHAMA AKATA MZIZI WA FITNA, ATOA TUMAINI YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments