AyoTV

AUDIO: Ujumbe wa Watanzania wanaosoma China, Unaambiwa Airport zimefungwa Wuhan

on

AyoTV na millardayo.com imeongea na mwanafunzi wa kitanzania anayesoma Urusi lakini kwa sasa yupo China kufanya Field kwa kipindi cha miaka miwili (Jina tunalihifadhi), amekubali kuelezea taarifa kuhusiana na video inayosambaa katika mitandao ya kijamii ambao inaonesha watanzania wanaomba kurudi nyumbani, tatizo sio kukosa nauli lakini Airport na miji waliopo wamezuiwa kutoka kwa hofu ya kuepuka kusambaa zaidi kwa virusi vya Corona.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments