Habari za Mastaa

AudioMPYA: Ferooz na Roma wamlilia Mkapa kwenye mdundo huu

on

Wakati Taifa likiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, ambaye amezikwa July 29,2020 huko kwao Lupaso Mtwara, Msanii Ferooz na Roma Mkatoliki wameingia studio na kurecord wimbo huu unaoitwa Nalia ambao tayari wameuachia na kukuwekea Youtube, unaweza kuusikiliza hapa chini.

Bonyeza PLAY kuusikiliza.

VIDEO: TAZAMA ALICHOZUNGUMZA FEROOZ BAADA YA KIFO CHA MKAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments