Ngoma mpya Staa wa Bongofleva Harmonize “Attitude” tayari imetoka ambapo ameshirikishwa Awilo Longomba pamoja na H.Baba, Ngoma hiyo ambayo imeanza kuachiwa Audio, imeweza kupata mapokezi makubwa ndani ya muda mfupi.
AudioMPYA: Harmonize ft Awilo Longomba & H Baba karibu uisikilize

Leave a comment
Leave a comment