Habari za Mastaa

AudioMPYA: Isikilize ngoma Mpya ya Abbah na Jux inaitwa ‘Blessings’

on

Blessings ni wimbo mpya wa mtayarishaji Abbah ambao unapatikana Kwenye album yake mpya ya The Evolution anayotarajia kuiachia next Week kama alivyotuahidi, wimbo huu kamshirikisha msanii Juma Jux.

 Abbah anatarajia kuizindua album hiyo tarehe 27 February 2021 na uzinduzi wake utafanyika huko Mwanza ukiwa na wasanii Jux, Darassa, Marioo na wengine.

Bonyeza PLAY hapa chini kuisikiliza kwa Mara ya kwanza

 

Soma na hizi

Tupia Comments