Habari za Mastaa

AudioMPYA: Khalid time hii kampa shavu Davido kwenye Remix hii

on

NI Mkali kutokea Marekani Khalid ambae time hii ameiletea Remix ya wimbo wake uitwao Know Your Worth na kuwa surprise wengi baada ya kumuweka msanii wa Nigeria Davido na Tems.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments