Habari za Mastaa

AudioMPYA: Msanii Kareen amewaletea wimbo wa kusherekea siku yako ya kuzaliwa

on

Ni audio Mpya kutoka kwa Msanii Malkia Kareen ambaye ameachia wimbo unaoitwa ‘Happy Birthday’ wimbo huu ametoa siku moja baada ya siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Baba yake ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.

PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA

VIDEO: DIVA KATOA MAKAVU KWA ALIKIBA ADAI VIDEO YA NGONO NI ADBUKIBA ‘ALIKUWA KALEWA’

Soma na hizi

Tupia Comments