Baada ya ku-hit na ngoma mbalimbali ambazo amewashirikisha mastaa wa Bongo akiwemo Mr. Blue na Shettah, Rhino the Don leo anatuletea brand new Audio ambayo amemshirikisha Nandy, ngoma hii ni Remix ya ngoma yake ya awali ‘Tingisha’
AudioMPYA: Nandy kapewa shavu na Rhino kwenye ‘Tingisha Rmx’

Leave a comment
Leave a comment