Habari za Mastaa

AudioMPYA: Reekado Banks akiwa na mkali kutokea London ‘Parker Ighile’

on

Ni Headlines za msanii kutokea Nigeria, Reekado Banks ambae ameachia wimbo wake mpya uitwa Option akiwa na mkali kutokea London ambae ni mtayarishaji, Parker Ighile, unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa

Soma na hizi

Tupia Comments