Burudani

AudioMPYA:Snura anatualika kuisikiliza hii single mpya ‘VIBE”

on

NI Headlines za mwimbaji wa Bongo Fleva, Snura ambae time hii ametuletea hii single yake mpya iitwayo Vibe, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza pia usisahau kutuandikia chochote ili akipita asome ulichokiandika

ULIIKOSA HII YA BASATA WAMEONGELEA SAKATA LA EBITOKE NA MLELA 

 

Soma na hizi

Tupia Comments