Burudani

AudioMPYA:Usher katuletea hii collabo ya kufungia mwaka akiwa na Ella Mai

on

NI Headlines za star kutokea Marekani aitwa Usher ambae time hii ametuletea collabo ya kufungia mwaka akiwa na Ella Mai, wimbo unaitwa kwa jina la Dont Waste My Time.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza wimbo huo mpya

Soma na hizi

Tupia Comments