Habari za Mastaa

Ongeza hit singles kwenye Christmas playlist yako na hii mpya ya August Alsina; Song Cry – (Video)!

on

Album yake mpya ‘This Thing Called Life’ ikiwa mtaani tayari, msanii wa miondoko ya R&B kutoka Marekani, August Alsina anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa official music video ya latest single yake, Song Cry’.

AUG2

Ili kutangaza album hiyo, August ametangaza kuwa atakuwa anakutana na mashabiki kwenye maduka mbalimbali ya CD mwezi huu ili aweze kusign CD zao kama sehemu ndogo ya shukrani kwa saupport wanayompa… Baadhi ya miji atakayotembelea msanii huyo ni pamoja na New York, Atlanta, Baltimore, Chicago na Houston.

Kama haijagusa macho yako bado, feel free kuicheki video mpya ya August Alsina kwenye hizi dakika nne hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FBInstagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments