Habari za Mastaa

AudioMPYA:Time ya kuenjoy hii single ‘HAPO’ kutoka kwa G Nako, Quick Rocka na Jux…

on

Usiku wa May 28 2016 ndio siku rasmi ambayo wasanii wa Bongfleva G Nako, Quick Rocka na Jux waliamua kufanya uzinduzi wa video ya ngoma yao waliofanya pamoja ‘Hapo’ uzinduzi ulifanyika Azura Beach, sasa leo wameachia rasmi single ya video yao iitwayo Hapo.

Unaweza ukabonyeza play HAPA ukishamaliza kuisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje

ULIIKOSA HII VIDEO YA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA G NAKO, QUICK ROCKA NA JUX ITAZAME HAPA 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments