Mali za Mastaa

Gari jipya la Aunty Ezekiel…. anasema sio pesa za kampeni lakini!

on

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga.

Stori hii ninayotaka kukusogezea inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye headlines za millardayo.com kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.

Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel

Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel

Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’

Baada ya kupost picha ya hii AUDI, Aunty aliandika >>> ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’

.

.

.

.

.

.

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments