Mix

EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel kaelezea siku Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake

on

Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz  Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake.

‘Kwanza Mose Iyobo aliniambia niitoe hii mimba nilipomuuliza kwanini akasema najua wewe Aunty Ezekiel huwezi kuzaa na mimi, akaniambia hajajipanga sababu ana mtoto mwingine, nilimwambia hii mimba ni yangu na kila afanye maisha yake kama ni hivyo….‘ – Aunty Ezekiel

Ukitaka kupata full story bonyeza play kwenye hii video hapa chini

ULIIKOSA YA PARTY YA MOSE IYOBO NA AUNTY EZEKIEL WALIYOIFANYA KWA MTOTO WAO KUTIMIZA MWAKA MMOJA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments